V
Money mwimbaji wa kike mwenye radha na vionjo vya pekee kwenye muziki
wa bongo fleva,Yupo nchini Nigeria na Diamond Platnum kwenye utoaji tuzo
za African Mama Award ambapo wote wapo kwenye vipengele
vyakushindanishwa.Leo amepiga bata ndefu down town Lagos na mwanamuziki
pacha wa Psqure.

No comments:
Post a Comment