Maoni Huru Kutoka Kwa Ndau Anaitwa Matumbo Huko Jamii Forums
Jisomee Mwenyewe Hapa Chini:
Toafauti ya kwanza kabisa, inayotofautisha kati ya KTMA na MTV Awards ni kwamba, kwa KTMA, msanii ana uwezo wa kutoka na kontena moja la tuzo peke yake na kwa wakatimmoja wakati kwa MTV ni ndoto kufanya hivyo! Hadi sasa, msaniii anayeongoza kutoka na kontena la tuzo za KTMA kwa wakati mmoja ni Diamond Plutnumz ambae aliibuka na tuzo 7 kisha wanafuatia Ali Kiba na 20% ambao kila mmoja amepata kuibuka na tuzo 5.
Ukweli huo hapo juu unatokana na tofauti za kimsingi zinazounda Tuzo za KTMA na MTV ambazo ni:
No comments:
Post a Comment