Lulu
Michael msanii anayejipalilia umaarufu wake sio wa kukopa,Ana miaka
kumi na tano kwenye gemu,Ona guu la bia na umbo matata amekuwa kwenye
macho ya watanzania toka mtoto mtangazaji wa kipindi cha watoto hadi
sasa mcheza filamu wa kulipwa milioni kumi na tano kwa sinema moja.Moto
wa kuotea mbali na mguu wa kuita.


No comments:
Post a Comment