11 July 2015

SCHWEINSTEIGER AKUBALI KUTUA OLD TRAFFORD


Bastian Schweinsteiger amekubali kujiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo atakuwa akivuna kitita cha pauni milioni 7.2 kwa mwaka. Schweinsteiger anajiandaa kusafiri kuelekea jijini Manchester kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na akifaulu zoezi hilo atasaini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname