Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
“Kamati
Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe
John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @jmkikwete
No comments:
Post a Comment