05 July 2015

SAMAHANI KWA PICHAZ HIZI: NDIO TULIPOFIKA WATANZANIA

Kweli Bongo Movies Sasa Inakwenda ‘Next Level’ 
Hizi ni picha za nyuma ya kamera za moja ya filamu ya kibongo ‘Bongo Movies’ ambapo msanii Haji Adam ‘Baba’ amevaa uhusika kwa kuwa na majeraha  usoni. Hizo ni make up tu. Hakika Bongo Movies sasa zimeanza kubeba uhalisia. Hongeren sana.
 




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname