Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
Raia wa kigeni wajaribu kujipatia vitambulisho vya kupigia kura wafikia 2040 kwa mikoa ya mikoa ya
Kagera watu 708, Mara 619, Tanga 348,Kigoma 254, Rukwa 13, Kilimanjaro
12, Ruvuma 9, Geita 6, Shinyanga 7, Mtwara 3, Pwani 2, Mbeya 1, Morogoro
1 na Dar es Salaam 65.
Hayo yamesemwa na Kaimu
kamishna wa uhamiaji Abasi Irovya wakati akizungumza na waandishi wa habari
katika ukumbi wa mikutano ofisini kwao jijini Dar es Salaam leo.
Aidha Irovya amesema amewakumbusha wananchi kupiga kura ni haki ya kila mwananchi wa Tanzania ana sio raia wa kigeni kujiandikisha ili apige kura kwana raia wa kigeni hana uwezo wa kupiga kura katika nchi asiko zaliwa.
Pia Irovya amesema kuwa wananchi walio chukua paspoti za kusafiria zinapoisha muda wake ni lazima wabadilishe na kupewa nyingine wakati wowote wanapohitaji.
Irovya ameongezea kuwa wananchi wanaotafuta paspoti za kusafiria tofauti na ofisi za uhamiaji wajue huko wanapotea paspoti zote zinapatikana katika ofisi za uhamiaji tuu na sio popote pale.

Kaimu kamishna wa uhamiaji Abasi Irovya akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na wahamiaji haramu wanayo jiandikisha katika Daftari la wapiga kura katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Kutoka
kushoto ni Naibu Kamishna wa uhamiaji wilaya ya Iala, Safina
Muhindi,katikati ni Afisa uhamiaji wilaya ya Temeke, Jaffari Kisesa na
Afisa Mdhibiti wa Paspoti, Cripin Ngonyani wakimsikiliza Kaimu kamishina
wa uhamiaji Abasi Irovya wakati akizungumza na waandishi wa habari leo
katika ukumbi wa mikutano ofisini kwao jijini Da es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kaimu kamishna wa uhamiaji Abasi Irovya jijin Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
No comments:
Post a Comment