Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia
mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa
TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba
jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
William Mtitu on Instagram
No comments:
Post a Comment