17 March 2014

SHILOLE NA MADEE WALIVYONIKA MTWARA...NI SHIDAAA...!JIONEE MWENYEWE HAPA..



 Kuanzia Kulia ni Shilole Baby a.k.a Beyonce akiwa na Madansa wake wawili wakike pamoja na Msanii Raymond wa Tiptop Conection waliweza kukonga nyoyo za Mashabiki wa Mziki huo wa Kizazi kipya Hapo jana Ndani ya Makonde Royal Night Club. Show ilisimamiwa na Safari Radio Fm Mtwara.PICHA ZINAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname