Mohamed
Dewji amewaaga wananchi wa jimbo la Singida mjini baada ya kuwaongoza
kwa muda wa miaka kumi nakuwashushia burudani ya nguvu toka kwa Diamond
Platnum buree.Akiwa kwenye mavazi ya jeans,tshirt na kapelo katikati ya
umati wa wapiga kula wake.Sababu ya kutogombea tena nikutaka kuwa karibu
na familia yake na kuwa karibu na biashara yake imekuwa vyakutosha.
No comments:
Post a Comment