Machozi
ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta
akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika
siku yake ya kuzaliwa.
Tukio
hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu nyumbani kwake
Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao
akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed
‘Shilole’, Nuh Mziwanda, Leah Richard ‘Lamata’ na wengineo walifika
nyumbani hapo mida ya saa 6 usiku kisha wakajibanza nje.
No comments:
Post a Comment