BAADA
ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo ili kuongeza nguvu
ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa na
tayari amejiunga rasmi Ukawa akiwa mwanachama halisi wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imefahamika.
Taarifa rasmi kutoka Ukawa na kwa
msemaji wa Lowassa ambaye hakutaka jina lake litajwe, imeeleza kuwa
uamuzi huo ulifikiwa baada ya majadiliano ya kina katika Mkutano Mkuu wa
Ukawa uliofanyika mapema wiki hii huku ajenda kubwa ikiwa ni kumpokea
Lowassa ili kuimarisha kambi ya upinzani ikiwa ni pamoja na kumsimamisha
kama mgombea urais wa umoja
huo
.BOFYA KUSOMA ZAIDI
huo
.BOFYA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment