Matunzo
anayopewa huyu miss Jackline Mengi hakuna mwanamke asiye
yatamani.Shopping nchi mbalimbali za ughaibuni Dubai mixer South Afika ,
Matunzo yakila aina kapata mtunzaji hata makazi yake sio bongo.Ukiona
maisha ya watoto wake mapacha ni zaidi ya maisha bora tulioahidiwa
watanzania.



No comments:
Post a Comment