28 July 2015

Kusambaa Kwa Kauli Hii Ya Eddo Kumwembe Kuhusu Lowassa



".....CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujichungulia nyeti zake...Chadema kuongelea uzuri wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujitekenya na kucheka mwenyewe....Vyote vinahitaji uso usio na soni"-Edo kumwembe.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname