Rais Obama akiwaaga Wakenya wakati akiondoka.
Obama akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta tayari kuondoka.
Obama akiagana na Rais Uhuru Kenyatta.
Mama Sarah Obama akiwa tayari kumuaga Obama.
RAIS
wa Marekani, Barrack Obama leo jioni amekamilisha ziara yake ya siku
tatu nchini Kenya ambapo alifungua kongamano la kibiashara, akawahutubia
Wakenya katika Uwanja wa Kasarani na baadaye kuzungumza na viongozi wa
mashirika ya kijamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta
No comments:
Post a Comment