Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru
Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika
Mashariki.
Weekend hii muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema
Chalamila, ameamua kufunguka hisia zake juu ya Rais wa Kenya, Uhuru
Kenyatta.
“Lemme tell u a lil secret about Uhuru!!!!I love this guy to death!I
have had a crush on him for soooooo long!!!huwa namuota sana sana!!!!I
love everything about him!His Attitude, His accent!Total Package,”
aliandika Ray C.
Ujumbe huo umepokelewa kama moja ya vituko vilivyotokea hivi karibuni
hasa ukizingatia kuwa Uhuru ni mume wa mtu. Kituo cha runinga cha NTV
kiliipa nafasi habari hiyo kwenye taarifa yake ya habari ya saa tatu
usiku
No comments:
Post a Comment