Mwenyekiti
wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemkaribisha Edward Lowassa kujiunga na
CHADEMA, amesema CHADEMA hakibagui Mtanzania yeyote.
-Amesema mgombea atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa Rais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu
-Amesema mgombea atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa Rais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu
No comments:
Post a Comment