SIRI NYETI ZAVUJA
Wakati Chama Cha Mapinduzi(CCM) kikiendelea na hekaheka za vikao vya uteuzi wa wagombea ili kumpata mgombea atakaye peperusha chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, jaribio jipya lakutaka kumzuia kada wa chama hicho ndugu Edward Lowassa imefahamika.
Habari kutoka vikao vya ndani vya siri vilivyo kaa kuanzia juzi, jana, na leo vimeripoti kuwa mkakati huo mahususi na wa siri uliowakutanisha vigogo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) umeazimia kumshinikiza msajili wa vyama vya
siasa nchini Jaji Francis Mutungi kuandaa taarifa itakayo mtia hatiani ndugu Edward Lowassa kwa kuonesha kuwa alianza kampeni kabla ya wakati.
siasa nchini Jaji Francis Mutungi kuandaa taarifa itakayo mtia hatiani ndugu Edward Lowassa kwa kuonesha kuwa alianza kampeni kabla ya wakati.
Mkakati huo wenye Baraka za vigogo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) umeratibiwa kwa umakini mkubwa kwa msukumo wa wagombea wanatajwa kwa majina ya Bernard Membe, Mizengo Pinda, Januari Makamba na John Pombe Magufuli, ambao pia wamepata Baraka kutoka kwa baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi.
BONYEZA HAPA KUSOMA MKAKATI HUO MCHAFU
BONYEZA HAPA KUSOMA MKAKATI HUO MCHAFU
No comments:
Post a Comment