MAJINA MATANO NGOMA NZITO: Mizengwe yatawala hadi usiku wa manane Kamati Kuu kufyeka waliodaiwa kuanza kampeni mapema.
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imejikuta ikiwa katika kibarua kizito cha kuteua watia nia watano kati ya 38 wa nafasi ya urais mjini Dodoma jana usiku baada ya kuwapo kwa msuguano mkali juu ya watu wa kuwaondoa kwa tuhuma za kuanza kampeni mapema.
Taarifa kutoka chanzo kimoja cha uhakika ndani ya CCM kilieleza kwamba kulikuwa na mizengwe ya kuwapo kwa barua kutoka kwa vigogo wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama hicho kushinikiza kuondolewa kwa baadhi ya wagombea kwa madai kuwa walianza kampeni mapema na hivyo kuhatarisha hatma ya ushiriki wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
BOFYA HAPA KU SOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KU SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment