16 July 2015

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za African Entertainment Awards (AEA)!!

DP
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA) ni tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa mchango mkubwa katika tasnia ya burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa kuonyesha ukubwa  na fursa zilizopo kwenye tasnia ya burudani Africa.

Tuzo hizi zinahusisha reception ya red carpet, live performace za wasanii, live performance za comdey na ofcoz kugawiwa kwa zawadi kwa wasanii wanaowania tuzo hizi kwenye vipengele husika.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname