17 July 2015

Diamond Platnumz ataja wasanii watatu wa Kenya anaotaka kufanya nao kazi,,,,

         Kwenye interview aliyofanyiwa na Mzazi William Tuza, Diamond Platnumz amesema wasanii wa Kenya ambao tayari anamipango ya kufanya nao kazi ni  Jaguar, Collins Majale na Chikuzee. 
Diamond aliendelea kusema hivi karibuni kuna kazi kubwa na msanii wa Kenya itatoka na kufanya vizuri Afrika Nzima.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname