DIAMOND PLATINUMS AKIWA KWENYE STAGE NA WA NAIGERIA
Show
ya road to mama inayoandaliwa na kituo cha runinga maarufu kama MTV
Base kama sehemu ya kusheherekea tuzo za MTV Base mwaka imefanyika
Nigeria kwenye hoteli ya Federal Palace.
Miongoni mwa wasanii
waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo ni Phyno, Diamond Platnumz,
Patoranking na Yemi Alade, Iyanya, Olamide.Hizi ni picha za kutoka
kwenye show hiyo.
No comments:
Post a Comment