26 July 2015
CHADEMA WAMUONGEZEA MUDA EDWARD LOWASSA..SOMA ZAIDI WALICHOSEMA HAPA JANA
Wakati leo saa 10 jioni ndiyo muda wa mwisho uliopangwa kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania Urais ndani ya CHADEMA, hadi sasa hakuna mwanachama hata mmoja aliyejitokeza kuzichukua.
Hali hiyo inazidisha sintofahamu iliyougubika mchakato wa Urais ndani ya chama hicho na ndani ya UKAWA, kuwa huenda kuna ‘mtu wa nne’ anayesubiriwa kutoka nje ya chama hicho japo kuhusu Viongozi na Wabunge wa chama hicho walisema Edward Lowassaanakaribishwa mradi tu afuate kanuni na taratibu.BOFYA KUSOMA YOTE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment