Mwaka
Huu Tanzania Itafanya Uchaguzi wake Mkuu Mwezi October kwajili ya
Kuunda serikali ya Awamu ya Tano.Hivyo Kutakuwa na Uchaguzi wa Rais
Wabunge na Madiwani.Kinachoendelea sasa Ni Mchakato wa chaguzi Ndani ya
Vyama vya Siasa kuelekea Uchaguzi Huo.Siku chache zilizopita Chama cha
Mapinduzi Kilifanya Uteuzi wa Mgombea Urais Ambapo Mh Magufuli
Atapeperusha Bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Huo.Katika Uteuzi huo
makanda zaidi ya 40 Walijitokeza Kuomba Kuteuliwa .
BOFYA HAPA KUONA TEAM LOWASSA WALIOKATWA
BOFYA HAPA KUONA TEAM LOWASSA WALIOKATWA
No comments:
Post a Comment