26 July 2015

WANA CCM WAFUASI WA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA WIKI IJAYO

Sijui CCM itaponea wapi, yaani Nguvu ya CHADEMA, UKAWA + Lowassa ni hatari tupu kwa CCM, CCM inaenda kunyongwa wiki ijayo...
Hizi ni habari za uhakika, tukae kimya hadi mtakapoona Wana CCM mamilioni wafuasi wa Lowassa kwa makundi wakienda Chadema, na kisha wananchi wasio wana CCM mamilioni wakijiunga CHADEMA, na watapokelewa katika sehemu mbali mbali, na kurushwa rasmi na vituo kadhaa vya TV, yaani sijui.. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname