Waziri Mkuu Msaafu na Mbunge Wa Monduli Mh Edward Lowassa Ameandika Ujumbe Mzito kwa Wananchi Watanzania Usiku Huu Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook..Lowassa Amekuwa Kwenye headlines Kwa Siku Za Karibuni Katika Harakati za
Kuomba Kuteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chama cha Mapinduzi Katika Nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nafasi iliyoenda Kwa Mh John Magufuli.
No comments:
Post a Comment