DKT. EMMANUEL NCHIMBI
.HALI SI SHWARI NDANI YA KIKAO NCHIMBI AJA JUU ASEMA HAWAKUBALIANI NA
MAAMUZI YA KUMUENGUA LOWASA..ASEMA YEYE, KIMBISA NA SOPHIA SIMBA
WATAKWENDA KUWAMBIA WAJUMBE WAO KWAMBA HAWATAKUBALIANA NA MAAMUZI YA
KIKAO HICHO KWANI KINA MALENGO Y KUMKATAA MTU ANAYE PENDWA NA WENGI BILA
YA SABABU YEYOTE NA KUWALETEA MAJINA MATATU WALIYO KWISHA YACHUKUA
WAO..HATA HIVYO ALIGOMA KUYATAJA MAJINA HAYO AKISEMA HAYO MAJINA
YATATAJWA NA NAPE AMBAYE NDIYE MSEMAJI WA CCM
No comments:
Post a Comment