11 July 2015

BREAKING NEWS: CCM YATANGAZA WAGOMBEA WATANO WA URAIS

Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi  
BONYEZA HAPA KUONA VIDEO NCHIMBI AKIFUNGUKA KUHUSU KUTOKUBALIANA NA KAMATI KUU

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname