24 July 2015

BREAKING NEWS : WEMA ATIKISA UCHAGUZI WA CCM SINGIDA LEO

Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepetu Ametikisa Uchaguzi huo Leo.Wema Sepetu amekuwa Gumzo wakati Akiwasili Katika Uchaguzi Huo Leo na Kuteka Wajumbe wote walioudhuria Uchaguzi huo wakitaka Kusalimiana nae Pamoja na Kupiga nae Picha. Hali Hiyo ilijitokeza wakati Mgombea Huyo Alipowasili kwenye ukumbi wa Mkutano Tayari kwa uchagguzi endelea Kuwa Nasi kwa Matokeo ya uchaguzi huo, Chini Kabis  

BOFYA KUONA PICHA ZAIDI WEMA ALIVYOWASILI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname