Wananchi
wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa
kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha Abiria na magari
upande wa Kigamboni
Baada ya
kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu bla
kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na blilipofika
jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa
dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA)
dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment