Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Chacha Mwita (24) amekufa baada ya kuchomwa kisu na mwenzake wakigombea mwanamke.Imeelezwa kuwa siku ya tukio marehemu akiwa
kwenye baa moja mjini Sirari, nyakati za jioni kulitokea ugomvi kati yake na mtu mwingine ambaye hakufahamika jina wakigombania mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Dina.
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI TUKIO HILO
No comments:
Post a Comment