Embu
jifanye ww ndo umekufa apo alafu fkria je wangapi walio karbu yako
wameshapoteza maisha na tumeshasahau then jifanye ndo ww ujione hivi
nami nikifa ntasaulika kama yule na yule? Hivi n kweli nami ntakufa
ntakua siongei tena dah.
Je waliotangulia mbele yangu ntawaona au n nn knafuata juu ya maisha yangu baada ya kuiaga Dunia?
Ukipata jibu ndo ufanye masihara na kifo. Wanasema kuishi kwingi kuona mengi.
No comments:
Post a Comment