Kumekuwa na maneno na minong'ono mingi kuhusu bifu kati ya diamond na davido, bifu hilo limekuwa likichochewa na mitandao ya kijamii na team za wapinzani wa diamond lakini wiki hii diamond, davodo na wasanii wengine mastaa kama yemi alade wamekuwa pamoja afrika kusini kwa project maalumu.
No comments:
Post a Comment