ALIKUWA RAIS WA MAREKANI GEORGE BUSH AVUNJIKA SHINGO
Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.Msemaji wake amesema kuwa kwa sasa yuko katika hali nzuri na kwamba kulazwa kwake huenda kukachukua muda mfupi.BOFYA HAPA KWA TAARIFA KAMILI
No comments:
Post a Comment