Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku
huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo
za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile
Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha
na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha
nyuma na hawezi rudia kosa..
Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti
Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye
Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost
kwenye Account yake ya Instagram yenye followers zaidi ya laki saba
(Hadi sasa).
No comments:
Post a Comment