27 June 2015

WEMA SEPETU AMTAJA MTU ANAYEZUIA YEYE KUPATA UJAUZITO!

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito limeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kulizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.
Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname