Mr.Muganyizi Jonas Bisheko anatarajia kuongea na wanafunzi nchini jumamosi ijayo kuanzia sa nne asubuhi katika kipindi cha club 10 cha Clouds fm juu ya fursa mbalimbali za kiuchumi,namna ya kujiandaa kuingia kwenyeushindani wa ajira,namna ya kupata mikopo katika tasisi za kifedha na kujiajiri pamoja ya namna ya kupata nafasi za masomo hususani vyuo vikuu vya nje..Huu ni muendelezo wa ziara ya meneja huyo kwenye vyombo mbalimbali vya habari kutoa elimu kwa vijana.

No comments:
Post a Comment