25 June 2015

LOWASSA AIZIBA PUMZI ARUSHA!!,APATA WADHAMINI LAKI MOJA NA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa Arusha waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA, wakati akitokea Mkoani Dodoma kuhudhulia vikao cha Bunge na kupigia kura bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akimjulia hali Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM, Mathias Manga, aliyejeruhiwa kwa risasi jana usiku na watu wasiofahamika, wakati walipokutana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa KIA, Mkoani Kilimanjaro Juni 24, 2015.
Sehemu ya Wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaoishi maeneo ya jirani na Uwanja wa Ndege wa KIA wakimshangilia Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa wakati walipomsimamisha iliKWA MUENDELEZO WA HABARI HII NA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname