24 June 2015

INATISHA:Mjamzito Afanyiwa Ukatili wa Kutisha: Alifika Hospitali Akiwa na Uchungu, Wauguzi Wakamfukuza.......Dakika Chache Baadae Akajifungulia Bafuni


MJAMZITO aliyefahamika kwa jina la Rotha Bujiku, amejifungulia bafuni karibu na zahanati ya kijiji baada ya kudaiwa kufukuzwa na wauguzi waliokuwa zamu siku hiyo, kwa maelezo kuwa anajifungua kila mwaka.

Tukio hilo lilitokea wilaya ya Maswa katika mkoa waKWA HABARI ZIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname