09 May 2015

VIDEO BASI LA DAR EPRESS LIKIUNGUA MOTO LEO

Linahesabika kama tukio jingine la Basi kuwaka moto katika rekodi za mabasi yaliyowaka moto yakiwa safarini nchini Tanzania wakati yakiwa na abiria.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Pwani SACP Jafari Ibrahimu baada ya kuongea  ni kwamba basi hili la kampuni ya Dar Express liliwaka moto likiwa safarini kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha likiwa limejaa abiria. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname