Msanii wa Rnb na Filamu Tanzania Hemedy Phd anafanya maamuzi mengine
magumu kwenye maisha yake baada ya kufunguka kuwa anampango wa kutoboa
pua upande mmoja.
“Baada ya kumaliza project za watu
nilizonazo nitatoboa pua upande wa kulia, ni muonekano ninaotaka sasa,
siwezi kufanya muda huu sababu ya kazi za watu, Kutoboa pua sio jambo
baya kama limekubalika mbele hata hapa nyumbani litawezekana ” .
No comments:
Post a Comment