14 May 2015

SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY WA MITEGO! A-Z


Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis. Ishu hiyo ‘ilidakwa’ na ‘balozi’ wa gazeti hili usiku wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar kulipokuwa na onesho la Mrs. Mabeste Charity hafla iliyokusanya mastaa kibao na watoto wengi wa mjini.USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi
yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua.  

BONYEZA KUONA VIDEO SHAMSA AKIJIACHIA NA JAMAA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname