19 May 2015

‘Nimekubali Kuolewa’ Imetoka Leo na Kuisha Sokoni- Dr Cheni


‘Nimekubali Kuolewa’ Imetoka Leo na Kuisha Sokoni- Dr CheniStaa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’  amewashukuru mashabiki na wapenzi wa kazi zake kwa kuipokea kazi yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’  kwani imeigia leo sokoni na kununuliwa nakala zote  hvyo inawabdiki wazalishe nakala nyingine zaidi.
Asante Mungu muumba mbingu na ardhi asante washabiki wangu kwa kuifanya hii movie leo kuingia sokoni na kuisha copy zote dukani ila kesho zitaletwa copy zengine kwa maduka yote niombe radhi kwa wote mliokosa leo msg zenu nimezipata kesho mzigo utakuwa mwingi sana madukan asanten.kwa support yenu
Dr Cheni ameandika kwenye ukurasa wake mtandaon.
Kama bado subiri kujipatia nakala yako

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname