20 May 2015

Mashabiki wamshambulia kwa maneno shetta, ni baada ya yeye kuandika Shetta Shettani



The shikorobo master Shetta “baba Qailah”, ameionja joto ya jiwe baada ya kushambuliwa vikali na followers wake kupitia mtandao wa Instagram.
Mwana Bongo flava huyo ali “post” picha yake hiyo hapo juu, akiwa bafuni na kuweka caption “Shetta Shettani” na mashambulizi yakawa hivi. Bofya picha ili kuikuza usome.
as - Copy

1 comment

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname