Sheria iliyopitishwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA "Cybercrime au Cyberbulling" Kuwa ukitukana mtandaoni na Comment ikawa inaonekana aliyeandika utalipa faini ya Shiling laki
7.5 kwa kila siku imemfanya Lulu Michael Arudi Mtandaoni Baaada ya Kujitoa kutokana na Matusi ya Watu waliokuwa wakimshambulia
No comments:
Post a Comment