01 May 2015

Hili sharti linaiweka rehani ndoa yangu

 
Kama mtakuwa mnakumbuka niliwahi kuwaletea habari inayohusu uhusiano wangu na mdada flani ambae ckuwa na mipango ya kumuoa na hata nilipomwambia nataka kuoa alinipa 'go ahead' huku akisema atamuheshimu mke wangu.

Lakini ikawa kinyume chake, siku moja wakakutana kwny kitchen party, akaanza kuomba nyimbo zenye maudhui ya vijembe kwa wife, kwa kuwa wife alikuwa keshatonywa na wapambe nux kuhusu chezo lote basi cku hiyo alimpa kipigo cha kutosha na aliporudi home hata hakuniambia chochote kilichotokea.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname