13 May 2015

DIAMOND PLATINUMS NA NEY WA MITEGO WAFUNGUKA MAZITO KUHUSU MAPENZI

Ney wa Mitego na Diamond May 13 wameipiga muhuri tarehe hii kwa kuingia tena kwenye headline,time hii wameamua kuachia pamoja collabo yao ya pili ambayo walianza kuitangaza kupitia mitandao ya kijamii wiki chache zilizopita.
Miongoni mwa maswali waliyoulizwa na B dozen wa XXL ni muda walioutumia kuandaa collabo hii ambapo Diamond alijibu kuwa wimbo huu uliwachukua siku 7(wiki) muda mwingine iliwalazimu kukesha studio ili tu kuukamilisha,wimbo huo unaweza kusikilliza kupitia Mkito.com mtu wangu lakini hapa nimekurekodia interview wakati wakihojiwa.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname