13 May 2015

Diamond Atoboa Kilichosababisha Nay Achane na Siwema



 Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amempa makavu laivu staa mwenzake Nay wa Mitego kwa kumchana kuwa pesa sio kila kitu katika mapenzi.
"Kha! Huyu nae anakuwaga Boya sometimes... we akili yako unaona kila kitu kinataka ela tu.. hayo mambo ndio yalokufanya kile kidem chako cha Mwanza kikuchune halaf mwisho wa siku watu wamekipa viuno ipaswavyo, kiulainiiii wamejichkulia, Unabaki kutwa kuhaha na Mtoto.... Mwanamke anatakiwa Ufundi, Madoio, Manjonjo kwa bed....UMENISKIA Nay"-Diamond aliandika mtandaoni mara baada ya ku- screenshot kile alichokiandika  Nay Wamitego

Huu ni utani wenye ukweli vile vile ni promo ya wimbo wao mpya unaozungumzia pesa au mapenzi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname