24 May 2015

BREAKING NEWS : BASI JENGINE LA SUPER FEO LAPATA AJALI

Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi. Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele yake
kisha kutumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara. Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza kuzipokea.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname