01 May 2015

AUNT EZEKEL AANIKA TUMBO LAKE MTANDAONI DAKIKA ZA LALA SALAMA


Picha ya aliyoitupia mapema leo asubuhi kupitia IG yake ya AuntyEzekiel ambayo hadi sasa imeshapata LIKES nyingi pamoja na Comments huku watu wakimuombea.

Huenda ulipata kusikia habari za Staa wa filamu za kibongo, ‘Bongo Movie’ Aunt Ezekiel ambaye kwenye mtandao wake wa kijamii wa Intagram anatumia IG Auntyezekiel, mapema asubui ya leo Aprili 30, kupitia IG hiyo ametupia picha ya tumbo lake. (Tazama picha hapo juu).

Hata hivyo katika picha hiyo, Aunty Ezekiel aliandika: ‘Morning…’ ikiwa ni sabahi kwa fans wake, ambaye hadi sasa ana fans walio m-follow 311K. huku akiwa na wastani wa kila post yake anayotupia IG, kupata LIKES nyingi zinazofikia zaidi ya 8,000 hadi 1,000.
Hata hivyo, hadi Mtandao huu unarusha Exclusive hii tayari post hiyo aliyoanika tumbo lake imeweza kufikisha LIKES zaidi ya 3,522 huku akipata Comments zaidi ya 394.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname